
watu - jay melody lyrics
[intro]
jini x66
ooh, yeah, la*la
ooh, yah
oh, once again, mh
[verse 1]
kama ni mapenzi
yaniuwe basi, yaniuwe
huu mzigo basi unitue
kama siyajui, basi nipeleke shule
baby, kwengine sioni
penzi lako lanipa upofu weh
kwa mikono yako nichukue
kwenye makorongo usinitue
baby
[pre*chorus]
mi nishajikomba sana
kwa masela, majita
we ndio changu kipenzi
nishawaambia we ndio changu kipenzi
sa usije kunichanganya
mwenzako nitakwisha
si ushajuwa siwezi
bila ya penzi lako mimi siwezi
mimi, mimi
[chorus]
watu (mh)
nitawaambia nini, watu
nitawaambia nini, watu
nitawaambia nini, watu
mimi, mimi
watu (mh)
nitawaambia nini, watu
nitawaambia nini, watu
nitawaambia nini, watu
mimi, mimi
[bridge]
ooh, la*la, mh
[verse 2]
bila wewe mi nitakosa uhai
bila we ‘life halitanoga
ni raha tupu vile unanikosha
utaniambia nini, kuhusu mapenzi
kwako nimegota
nikikuona ka nimeona nyota
kwa penzi lako, chozi lanidondoka
mwenzio usiniweke roho juu
[pre*chorus]
mi nishajikomba sana
kwa masela, majita
we ndio changu kipеnzi
nishawaambia we ndio changu kipenzi
sa usije kunichanganya
mwеnzako nitakwisha
si ushajuwa siwezi
bila ya penzi lako mimi siwezi
mimi, mimi
[chorus]
watu (mh)
nitawaambia nini, watu
nitawaambia nini, watu
nitawaambia nini, watu
mimi, mimi
watu (mh)
nitawaambia nini, watu
nitawaambia nini, watu
nitawaambia nini, watu
mimi, mimi
(instrumentals)
music
Random Song Lyrics :
- djindjan - nigga fama lyrics
- sdubid - tommy cash lyrics
- feeling you - plava sombrilla lyrics
- make some noise (indonesian version) - krystal meyers lyrics
- lāstekas - dzeltenie pastnieki lyrics
- tuna fish - city morgue lyrics
- rip my phone - heme itonna lyrics
- josephine - umbrella tree lyrics
- золото (gold) - xxikka lyrics
- il profumo dei sogni - stefano barotti lyrics