
moyo unauma - josco boy lyrics
ahhh josco boy mmm tararira salva key..!
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
oooh noo..
moyo unauma kila nikicheki picha zako..
moyo unauma kila nikicheki story zako..
moyo unauma kila nikicheki meseji zako.. ooh
moyo , moyo, moyo, moyo oooh noo
nilikupenda lakini ukanitenda
mami uyak*mbuki yale ma denda
tulipokuwa sote tukiumia
kidonda kimoja..!
najuwa mami ulinipenda sana
ila kwasababu ya pesa
ukanicha mwenzako na tangatanga
sina pakulala sina nyumba..!
oooh nana tarariraah..
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
moyo unauma aah
oooh nonono
nilikupenda kwa moyo w*ngu wote..!
ukanitenda mami (kwanini kwanini wanifanyia)
sikuzani sikuzani sikuzani sikuzani
kama unaweza ukafanya mamboo..!
nilikupenda kwamoyo w*ngu wote
ungejarijuwa mvumilivu
unajokipata usikirahu..ooh mami
moyoni niliumia uliponiambia
sikuitaji tena ooh babe
najuwa hali tulioishi
nilipanbana kutafuta rizki
oooh mami oooh sweet..
mami lololololol oooh noo
yai josco boy..!
Random Song Lyrics :
- queen's disease - col3trane lyrics
- hit by a train (bad day at the office) - jeshi lyrics
- top model - radiorama lyrics
- i'm back - anthony "bava" robinson lyrics
- bitter - traitors lyrics
- unfair - jay vest lyrics
- pain freestyle - dede the king lyrics
- interior - gian & giovani lyrics
- lady solitude - velvetcut lyrics
- taxation - sunshine christo lyrics