
13. sugua - jux. lyrics
simsima, toto mpe funguo za bima
anitoa bongo nimefika mpaka china
toto zipuka kishungi nimezima
amenipa lunch nimekula mpaka dinner yeah santana santana kitandani maji maji yanapambana anainama kanainama kanavyoiokota kama ua sama
wakali kwili kwili sikopeshi(sikopeshi)
namlipa mbili mbili sina breki(sina breki) nakadudisha mwili kitenesi(kitenesi)
kamenikiri kiri mara kesi asa nionyeshe
(chorus)
alichokupa mama sugua! sugua! sugua! sugu sugu sugu (mama wee) sugua! sugua! sugua! sugua sugua sugua
(diamond platnumz)
utapenda pini pini ama kitaka nikupe kwa chini chini ama kwa ngoko
ngweli sabini bini ama kimako
chenga mwilini lini jonny boko (brrr okey)
udi! udi udi udi(udi) katoto kako gudi gudi gudi(gudi)
mudi mudi mudi mudi(mudi)
navyokatafuna kama fudi
oyaa, katoto dosalale eeeh dosalale
nakapa fishi kambale eeeh kambale kibidu bidua(oooh bidua) pindu pindua(oooh pindua) yaani nakachimbu chimbua(ooh chimbua) nambandika bandua
oooh dada de yaani kama gaga limekwama kwenye guu
(chorus)
sugua! sugua! sugua! sugu sugu sugu (mama wee) sugua! sugua! sugua! sugu sugu sugu beiby
(bridge)
wakiweka unaweka(weka hatuoni)
ukich0m-a unachomeka(weka hatuoni)
weka weka weka mpaka down(weka hatuoni) komesha watoto wa town(weka hatuoni)
weka kama unasusa(weka hatuoni)
nisogezee kisambusa(weka hatuoni) weka weka weka mpaka down(weka hatuoni)
nikomeshee watoto wa town(weka hatuoni)
Random Song Lyrics :
- the dogs keep barking (but the bus keeps moving) - amy jack lyrics
- (37.810372, -2.544111) - lia kali lyrics
- pag-ibig ng ikaw at ako - earl agustin lyrics
- armadilha - victor xamã lyrics
- caught my eye - an lyrics
- toshi seikatsusha no yoru (都市生活者の夜) - jagatara lyrics
- прыгай вниз - олеся (olesya) lyrics
- distance between us - elxi lyrics
- tape 2 : lairs - c0n3j0 lyrics
- хочется об этом написать (want to write about it) - kewmao lyrics