
si mimi - jux. lyrics
[intro]
heyyyy yee
yeyi yeee
[verse 1]
eh nitazunguka dunia
nitangaze sifa zako, uzuri wako
siwezi fanya siri
wanibebeshe gunia
na zote dhambi zako, sumu yako
imetawala mwili
[pre*chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w*ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu
[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
eeeehh
oooh
aaah
[verse 2 ]
we ndo daktari
mponya maradhi, yani kama zali
zali la mentali
nakupenda kweli
hilo liko wazi, jua ukinitupa
utaniachia simanzi
[pre*chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w*ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu
[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
Random Song Lyrics :
- beauty and the beast - cooltime kids lyrics
- knife in your side - jesse sinn lyrics
- небеса (sky) - playboy zal lyrics
- the search - dygl lyrics
- gboko lowo e - goldie harvey lyrics
- truth or consequences - birds and arrows lyrics
- super soft (live) - puma blue lyrics
- lambadina - ቴዎድሮስ ካሳሁን (teddy afro) lyrics
- feeling - kit3 lyrics
- you won’t be able to hear the birds - sullii lyrics