
umenikamata - jux. lyrics
nisikilize ninavyoimba (imba)
na pia navyopiga gitaa
naona watu wamependeza
nyuso zao zimejaa furaha (furaha,ahhh)
najua ujue leo hii
kitatokea nini
najua ujue leo hii
nitakuambia nini (nitakuambia nini,darling)
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
haki ya mungu wewe ni mzuri
you are so beautifull
na mungu kakujalia
huna chembe ya kiburi
wewe ni msafi wa roho
i dont wanna let you
go
i wanna marry you
girl and nothing comes between us
am gonna give you
my loving and make them
wanna be us
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
(bridge)
mamy namuomba mungu
akulinde (akulinde)
akutunze na watoto uniletee
wewe ni furaha yangu (yangu)
maisha yangu (ni wewe)
ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata wee
umenikamata x4
Random Song Lyrics :
- stop playin - celly ru lyrics
- can't look back - slaye(rapper) lyrics
- no time - philthy lyrics
- смертельный эпизод (deadly episode) - wenaro lyrics
- get down - rick ross lyrics
- o.s.o.s - frc lyrics
- my joy is complete (reconstructed) - citizens (u.s.) lyrics
- mal'ach vesatan - מלאך ושטן - zohar argov - זוהר ארגוב lyrics
- modern marriage - pulp lyrics
- the way you make me feel - donell jones lyrics