
michongo - k son rap lyrics
Loading...
uwanjani wakaingiza timu ya michongo..chini ya kiw*ngo
mashabiki wamichongo usicheze wabongo..wakapata matokeo ya michongo..shirikisho la michongo..wakapata msemaji wamichongo..kimichongo..uchaguzi ulifanyika kimichongo..kura zikapigwa kimichongo..wakapata wabunge wa michongo..w*ngine wapo jela wana kesi za michongo..bongo tuna boxer wamichongo alinyanganywa ile mikanda aliyoipaya kichongo..mirabaha na tuzo za michongo..trending za michongo..lebo na radio za michongo zina wasanii mapresenter madj wa michongo..mara simba kuna tembo sijui chui wa michongo..wazee wamichongo dili za magendo maboss na machawa wa michongo..njoo mjini kariakoo mtaa wa kongo..uoneinavyofanyika tu michongo..
Random Song Lyrics :
- saints never die - andré desaint lyrics
- entrega - isadora pompeo lyrics
- my father's gun - justin jones lyrics
- no.1 - 제국의아이들 (ze:a) lyrics
- rask - rask01 lyrics
- 21 nächte wach - edwin rosen lyrics
- tu mi odi - trentaquattro lyrics
- sonntagabende - adrian (deu) lyrics
- suffering - yung van & two:22 lyrics
- jimmy & tommy - ar liu fuyang lyrics