
nakataa - k son rap lyrics
yoh! unafki nakataa fitna majungu nakataa../
i believe in jah..mambo ya kuloga nakataa../chapa kazi kama adili uvivu nakataa/ushemeji wa mchongo man fongo nakataa../ukiona nipo kimya sij*piga hata simu uje ndo tayari nshakukataa uliza ommypa../mshamba ukizubaa kwenye mataa..nakukataa../mi ndio top in dar watoto ni wadogo nawakataa../nakemea kama pastor mapepo na nakataa../ukiniletea ustar wenu wa mabantu nawakataa../wapenda kiki wanaotaka kutrend nawakataa/sina chawa mi ndo one man army..habari za kiota.. nakataa/madawa ya kulevya ndo kabisa nakataa/mikosi mabalaa wazushi nawakataa../zinazojiita pisi kali zinavaa nusu uchi…(nakata x2) zinasambaza tu virus (nakazikataa)../pata chanjo kujikinga na corona vaa barakoa..(msongamano) nakataa/ukinileteaa usela mavi ndo kabisa hunifai nakukataa/hii ni hiphop mambo ya kiwaki nakataa/
asihusika na show bora tu ashuke mashabiki wamekataa/
umimi,umwinyi,udini,ubinafsi nakataa../
mjamaa..ubepari ukoloni mambo leo nakataa../unaweza ukapelekwa mahakamani kizimbani na bado ukakataa../sanaa bila manufaa nakataa..nitabaki underground kwenda mainstream nakataa../ukinizingua nakuzingua..acha upendo utuongoze ka lugombo nakataa../
hili beat naliganda kama ruba kuiacha boombap nakataa../
Random Song Lyrics :
- wir sitzen alle in einem boot - westernhagen lyrics
- tough (the girls song) - will linley lyrics
- think about us - drove lyrics
- obiecuję, że będzie gorzej - lordofon lyrics
- халаты (bathrobes) - metox & игла (igla) lyrics
- xtra effort - thrilly lyrics
- iperuranio - xlofono lyrics
- lost - fran ochaz lyrics
- dusk - asstoro lyrics
- слова о любви (words about love) - sloosheye lyrics