
walikuja wakapotea - k son rap lyrics
(walikuja ..walikuja… wakapotea..
(walikuja wakapotea..x2)
alikuja top c kwasababu ya ulofa akapotea..akaja mr nice akavuma akapotea.. pnc akasema wenzake wamebuma.. ikafika zamu yake akapote..mnamk*mbuka babu seya..mzee wa konkifire alisema atabaki kileleni.. mbona kapotea..hamorapa miatisa itapendeza..naekapote life haiko fair.. bash*te koromije akatrend akapotea…akaibuka konkimaster dudubaya faster akapotea..kilichompata mwanajua wa dizasta..kimepata na sabaya..kule arusha.. alisema yye ni jiwe kweli kweli mbona kapotea..mwenda zake kaenda zake..waliobaki niwachache..akaibuka mzee mpili akashuka kwa kishindo kwenye jangwa la utopolo ghafla akapotea..waliopata umaarufu wakauchezea wengi wamepotea..kijana mteja daz baba maji ya shingo nae kapotea..kipindi kile cha ambikile.. alinipishe.. hakudumu sana kwenye tasnia akapotea..atokee jasiri aongoze njia..maana baada ya kufa kanumba bongo movie kwenda international ikapotea..
Random Song Lyrics :
- про хуи (about hui) - алиса вокс (alisa vox) lyrics
- pretty horses - lorne greene lyrics
- hold on !!! - kaiser garesk lyrics
- into you - natasha meleki lyrics
- vesitornin katolla - happoradio lyrics
- unrecognized - bluxxi lyrics
- burned down forests - azkal lyrics
- vida - l0lly lyrics
- te wai nō rua whetū / aztechknowledgey - troy kingi lyrics
- how do you like it? - mic skills lyrics