
u.t.i - kapaso bkp lyrics
mwenzenu sikuamini nilipenda kahaba
kweli umalaya sio mi mwenzenu niliyavaba
kidemu jau kimepita mpaka na baba
kina historia mbaya kimepigwa mtungo na mtu saba
oya kamwili kangu daaaah nikikosa gono u.t.i
we jaman kwamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
navyo jiskia kamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
ndo ivo kamwili.kangu daah nikikosa gono na u.t.i
mi kwanza nilikuwa mjinga sikuweza kufikilia
demu anakuwa mwepesi kama vocha ya kukw*ngua
kila nacho mwambia yeye kazi kuitikia
nikakashika mkono mpka gheto kakaingia
yani kinacho nichanganya kamwili kangu skaelewi
mbona kiuno kimekaza au ndo ivo na uti
nimechanganikiwa mbona kama sitoboi
jana alivyo nikamia uyu demu hajanipa chai kweri
oya kamwili kangu daaaah nikikosa gono u.t.i
we jaman kwamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
navyo jiskia kamwili kangu daah nikikosa gono na u.t.i
ndo ivo kamwili.kangu daah nikikosa gono na u.t.i
oya apa kuna cmpleni ze zeshen
kuna kitu nashindwa k*metion action
no question answers and correction
nibipu nikupigie jishauwe nikuvimbie
una fake life tu ngoja upakuliwe
hupendi ukosolewe kila kitu ujue wеwe
kijana bize na umbea ngoja udonyolеwe
aaiii
kitambaa cheupe kuna wachumba pale
nikadata nae sikutaka kujua amepima nikaondoka nae
element lounge kuna wachumba pale
mambo ya kujua anagono nilijua badae
shiiii beberuu kapaso apa g*nius from tanzania
anaitwa mobby tallent we chamossy director
watoto bkp brand we don mendezi kaiza ladern
anakusalimia dee smart hot code
we china marangi wakuache big man stima
dj travella aaaadaah
Random Song Lyrics :
- the vanguard/mono-poly game - ashonte "dolo" lee lyrics
- pikers - sprawdź - pikers lyrics
- mi lugar - triiipode lyrics
- don’t trust a soul (7th avenue version) - mil beats & westside gunn lyrics
- sthlm love - dnt rye lyrics
- the end - rusur & slarmy lyrics
- corpsecartel zombie - value lyrics
- время на руках - spelan lyrics
- does he know about us - david morris lyrics
- burn - garry with two r's lyrics