yanga ya moto - kapaso bkp lyrics
j4d sound mmmh shii beberuu
aadasco mtu mbaya
oya manara wee eeh ali kamwe wee eeh
gsm wee eeh injinia wee eeeh
oya wakizitaja timu zao wasiache kujitaja yanga
yaani mkizitaja timu zenu msiache kuitaja yanga
wanangu wakizitaja timu zao wasiache kuitaja
yaani mkizitaja timu zenu msiache kuitaja yanga
timu yangu inaweza kucheza na yoyote
inaweza kuruka na yoyote
chama langu linaweza kucheza na yoyote
linaweza kuruka na yoyote
timu yangu naikubali wallah naweka hata nyumba
la kuvunda la kuvunda huwa limepata wa k*mpamba
oya yanga danger tena danger alafu danger tena
ukikutana na yanga presha itashuka na utajamba
twendee palee
mzee mpili wee eeh divadinyo wee eeh
haya decodisuzwa wee eeh
oya wakizitaja timu zao wasiache kujitaja yanga
yaani mkizitaja timu zenu msiache kuitaja yanga
wanangu wakizitaja timu zao wasiache kuitaja
yaani mkizitaja timu zenu msiache kuitaja yanga
Random Song Lyrics :
- hard2help - re6ce lyrics
- il bat - lekchan lyrics
- wonderful life - spilly cave lyrics
- get a life - fire ant season lyrics
- circus - cats eyes (uk) lyrics
- truthful - nubiol lyrics
- キミがいる (kimi ga iru) (matally new era mix) - chemistry lyrics
- shot heard around the world - trump latinos lyrics
- everywhere i go - samsonyte lyrics
- dead weight - david cook lyrics