
lilete - karura voices lyrics
Loading...
yule yule tunayesoma aliumba mito na milima
yupo hapa leo yule yule tunayesoma aliwaponya wote wagonjwa
yupo hapa leo, yupo hapa leo
ni jambo gani gumu kwako
lilete, lilete kwake
lilete, lilete kwake
ukipita bonde la mauti, usiogope huyo adui
hivyo ndivyo alivyosema
sahau yote yaliyopita
hivyo ndivyo aliahidi hivyo ndivyo aliahidi
hivyo ndivyo aliahidi hivyo ndivyo aliahidi
ni jambo gani gumu kwako lilete lilete
ni jambo gani gumu kwako lilete lilete
ni jambo gani gumu kwako lilete lilete
ni jambo gani gumu kwako lilete lilete
Random Song Lyrics :
- human rights - mighty sparrow lyrics
- boundary (feat. zellow) - dro carey lyrics
- y yo la amo - grupo bandy2 lyrics
- raoul duke - duchu lyrics
- prada feat.malik - nikan lyrics
- trophies - rocko freshco lyrics
- beautiful black - deacon das lyrics
- růžové brýle - lucie bílá lyrics
- hello - vic mmanuel x ava songs lyrics
- dolce luna - stefano pulga lyrics