ndo basi tena - kay naksh lyrics
nilikuamini nikakupa moyoo
uwe akilini uniweke kwenye moyo
k*mbe hayawani una ulonayoo
ulichoamini nitakufa moyoo
kuna muda moyo w*ngu ulizama kwelii
sikujua mwisho w*ngu mapenzi kamariii
nimepata chaka langu ndio najivinjarii
natawala moyo w*ngu sitaki maswalii
wewe nisahau usinik*mbukeee
nimeshabadili namba bora uzifutee
ulinidharau kwa w*ngu upweke
ukajisahau tembo hashindwi mkonga wake
wewe ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
limebaki jina jina aeehh limabaki jina na upendo sina
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
asiji fakharii asijifakharii
sio umbo wala sura vinavyotakiwaa
tena tafadhali mi sitaki sharii
kamwambie anikomee sitomrudiaa
aaaaa asijinadharii asijinadharii
ikiwa hana busara atajijutiaa
aaasijinadharii asijinadharii
ikiwa hana busara atajijutiaa
nimepata mwenzakooooh kashika nafasi yakooo
huliwezi huba zitoo mimi na nenepa mwenzakooooh
wewe ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
limebaki jina jina aeehh limabaki jina na upendo sina
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
Random Song Lyrics :
- mein brain - sedafoxx lyrics
- era o amor de alguém (part. moreno veloso, lulina, edo portugal) - nenung lyrics
- so bad - lifeofred lyrics
- si m vuo' chiamma' - meth lyrics
- sweet ever after - ellie holcomb lyrics
- folk it then - papa spz lyrics
- asbestos oesophagus - brasher lyrics
- ella - hmb_ ivsm lyrics
- freedom is near - hortor lyrics
- her - phorhead lyrics