
sambolera mayi son - khadja nin lyrics
duniya ile sambolera
oh ! wanayijifondeya
duniya yetu sambolera
mbona wazimu… mayi
watu wa duniya sambolera
oh ! wanajisondeka
siyo wa mungu sambolera
oh ! ni watu… mayi
watu wabaya sambolera
oh ! hawana uluma
wanasema ji sema sambolera
duniya ni yao… mayi
mungu akipenda sambolera
oh ! wataguk-mbuka
wakupe njiya sambolera
oh ! ujaribu
mbele ya mungu sambolera
oh ! watajibu aje ?
watasema ju ya au ya mungu
wameuwa corazon
oh ! guerre ya mungu gani ?
oh ! guerre ya rangi gani ?
oh ! guerre rangi ya damu
rangi ya damu
rangi ni moja
damu ni mingi sambolera
oh ! wanatesa watu
ju mutu umoja sambolera
oh ! akitaka… mayi
ni vita… son
waca waseme sambolera
oh ! mayisha yako mbele
watasema waseme sambolera
alakini corazon
usitubiye
ngoyela… son
mayele
oh ! oh ! oh !
iye ! iye ! iye !
ule wazimu usi wuogope…son
Random Song Lyrics :
- bene così - montecreesto lyrics
- girl on fire - kameron marlowe lyrics
- start again - reyko lyrics
- dead is dead - crippled black phoenix lyrics
- get off my dick - full tac lyrics
- odian - tumba de carne lyrics
- take me - eli escobar lyrics
- hold me tight - sadgods lyrics
- prey [reduction] - recoil lyrics
- driving (sonata 2011) - xylø lyrics