lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

risk - khaligraph jones lyrics

Loading...

[hook: nyashinski]

maybe maybe wanataka kushii hii maisha yenye na live
naaa fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
naaa niko hustle kila saa najua wanaona crib
naa niko nazo ukiona pori utashindwa ku breath

[chorus:nyashinski]

kitu inakusho usirisk
kitu inakusho usirisk
kitu inakusho usirisk
usirisk usirisk

[verse 1:khaligraph jones]

mzae alinishow nikisoma nta achieve kila kitu na wish
set my eyes on a diploma but later i had to call it quits
where there’s a will there’s a way but the will we knew of was smith
na reality check iki slap i was rocked outta stage kama chris
you had it easy ukisota ulikua unaomba dad pesa
me nikiomba dad pesa nilikua napandwa na blood pressure
maombi na fasting sheria ma thursday matha alikuwa church kesha
foundation ya mtoi wa mariah na mtiacha hakunanga cha love letters
poverty si threat kw*ngu
honestly na dread scandals
i’m focusing i can’t fumble
geography na set angles
so if you see what i see you will know why
sijawai kuwa friendly na nyinyi
only loyal to the grind i swear me na mboka ni
ka pastor mckenzie na dini
maybach imesundwa kwa lot
mark x inask*mwa na mboch
neighbors wanaumwa na roho
juu main gate imefungwa na lock
there’s no room for anybody who thought watavuna mahalli hawaj*panda mbegu
and we expect more from you man up wacheke ku behave ka kairetu
[hook: nyashinski]

maybe maybe wanataka kushii hii maisha yenye na live
naaa fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
naaa niko hustle kila saa najua wanaona crib
naa niko nazo ukiona pori utashindwa ku breath

[chorus:nyashinski]
kitu inakusho usirisk
kitu inakusho usirisk
kitu inakusho usirisk
usirisk usirisk

[verse 2:khaligraph jones]

nairobi tulikujia mangondo, background ikatuforce tujitume
fall asleep at your own risk kila saa na dose off inabidi nijichune
wake up before you p*ss your bed cause that is the only dream ikona results instant
you only allowed to sleep till the age of 5 but after that you no longer an infant
aura tuliokotea boondocks
ondu pale jeevanjee na boombox
room 16 for the culture, then span akanipeleka kagundo
before the legacy i had a legacy b4 the 1st whip that i purchased from big bro
me na franko tulikua na big visions of blu ink
but we were never projected to get dooh
wanakurochesha giza unamocholewa ki*dagger ina whisker
but me nikifika scene hawawezi bonga ndio ma brother wana whisper
but me nikifika scene hawawezi bonga ndio ma brother wana whisper
zako ni story za jaba na b*tch stuntas
uchawi to tunaimada na kismart
transform to my final form on a podium chants ni za baba in distance
so who they call put it in though (baba)
sheng tezzo bado lingo (baba)
mafioso frakaz i eff up the game with a 9inch mandingo (baba)
mbati kwa bokinya za lv
chupa na display ya lg
trao fabric equivalent to networth au salary inapatiwa ma*mp
basquiat nikichora wall of fame
trust me i’m no baller though i’m paid
last year mlichoma that was lame
cashier mkiniona know i’m change
ghasia anabonga what’s he saying
nawakastia mnanyongwa what’s to gain
mnanitaftia makosa it’s all in vain
i’m a craftier mandonga blows kwa brain
mnahitaji ct scan
but you won’t get a break until the beat is done
niko kwa mansion tho siezi ditch eastlands
a loser nido hudhania ku risk ni scam
[hook: nyashinski]

maybe maybe wanataka kushii hii maisha yenye na live
naaa fungua macho kuona kitu wanaona kwa dreams
naaa niko hustle kila saa najua wanaona crib
naa niko nazo ukiona pori utashindwa ku breath

[chorus:nyashinski]

kitu inakusho usirisk
kitu inakusho usirisk
kitu inakusho usirisk
usirisk usirisk

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...