
ndani - kidum kibido lyrics
uuuh my baby
unanipa mateso kwa mienendo zako
nikikutafuta naumwa sana sababu ju sikupati
saa zingine un*z*ma simu yako siku nzima
najipata niko katika hali ya kusumbuka
nakuona ukiwa tu online ukichata na watu
wengine ila ni
kwa mawazo nini basi unataka mimi nifanye
sema tuh neno majo
kama uko ndani aman je
nijue la kufanya nisipoteze muda
kujaaa
usiniwache nisipofahamu
mapenzi siyoo mchezo wa slasa
kama tunapendana
kama tunape ndani
kama tunapendana
kama tunapendani
ndani ndani
kwaka juzi
niliona ukibebwa kwa gari kubwa
na kila mumefunga vioo vya gari
bado niliweza kukuona ukitabasamu
ningependa unieleze ukweli
ni nini nafaa kukufanya
nione tabasamu lako
niweze kukufurahisha
unalipa mawazo
nahisi nikiwa kwa mateso
unanifanya kwa nikonde
wanashindwa ni nini mbaya na mimi
usiniwache nisipofahamu
mapenzi siyoo mchezo wa slasa
kama tunapendana
kama tunape ndani
kama tunapendana
kama tunapendani
usiniwache nisipofahamu
mapenzi siyoo mchezo wa slasa
kama tunapendana
kama tunapendani
kama tunapendana
kama tunapendani
Random Song Lyrics :
- broken lines - worn thin lyrics
- no ways - mike teezy lyrics
- i do, i don't - breaking laces lyrics
- toyota - cool caddish lyrics
- ulovlig - tix lyrics
- dans le vide - lario nowhere lyrics
- the ghosts of right now - the wonder years lyrics
- retaliation - cheer captain lyrics
- hometown badboy - casey daniels band lyrics
- these are some of the things that i think about - de lux lyrics