
william ruto - kingsmainamssteve lyrics
william ruto william ruto william ruto nimekuita mara ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni wenyu tunakupeda sana
william ruto william ruto william ruto nimekuita mara ngapi wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni wenyu tunakupeda sana
mzee na kazi baba wa taifa maedeleo tunayo tunajuvunia kuepo kwako asubuhi nikiamuka humuombea sana william ruto abarikiwe naibu wake pia abarikiwe siku nyingi duniani ruto kasema ni vyiema kupea mifugo chanjo faida kwako wewe mkulima kama umejega nyumba kwa bei nafuu nani mwingine kama wewe akuna umetujegea mashule mabalabala amani ya wakenya umеtuletea mambo mazuri ya sha karo umepunguza watoto wanasoma vizuri nani mwinginе kama wewe akuna
william ruto wewe ni mzuri ubagui wewe ni wa kabira fulani umetoka wapi unfanyaga nini unatupeda sote kama wakenya kitu kimoja kama ni pesa unagawanisha vizuri tunajuvunia wewe baba wa taifa ata walale waamuke waseme ubaya wako mimi nitakupeda nitakupeda zaidi ya jana
ebu taazama furaha ya wakenya ukieda mombasa wanasema william ruto tosha nairobi nakuru na county zote za kenya tumeugana tunasema william ruto tosha mambo mazuri huchukua muda tumpe nafasi tafadhari
walisema agusha bei ya sukari umeangusha wakasema agusha bei ya uga umeangusha mafuta pia umeangusha nani mwingine kama wewe akuna
mtu ni william samoe ruto tano tena
mtu ni william samoe ruto
mtu ni william samoe ruto
Random Song Lyrics :
- 夢ファンファーレ (yume fanfare) - honeyworks lyrics
- smile (live amsterdam) - k'naan lyrics
- don’t lose your grip on love - elvis costello & rusty lyrics
- stand up (berlin arena 2006; live) - seeed lyrics
- running - yung pill3y lyrics
- fnaf - ямаугли (yamaugli) lyrics
- vos podés - floricienta y su banda lyrics
- στιγμές (stigmes) - lobo x novel 729 lyrics
- tempête - len lyrics
- boundless dreams - lia blue lyrics