
ksonrap works albums and mixtape 2023 - ksonrap lyrics
Loading...
ksonrap amefanya kazi nyingi tofauti tofauti ikiwepo zile alizofanya na kundi la kiotamv09 lakini kazi zake kama solo artist nitakutajia kadhaa alizotoa 2021 kuna msela mavi ambayo aliwashirikisha wasanii kama cado kitengo,boshoo, teddy boombap,mkax pepee nawengine 2021 hiyo hiyo akatoa kazi kama nitabaki ambayo aliwashirikisha wasanii kama kimbunga,don kolihombi,cado kitengo na wengine akatoa extraction mwaka huo huo kazi kali sana aliyo washirikisha wasanii kama stan rhymes,mteganda, miracle noma,hechi255,who sayn.. ikatosha kufunga mwaka ukaingia mwaka wa mafanikio makubwa kwa ksonrap kwani aliingia studio kwa ommy daddy mv09 kwa hasira kubwa na kufanya smash hit song
Random Song Lyrics :
- cost of emotions - rocky phase lyrics
- it was me - sk-47 lyrics
- go get it - cash kidd lyrics
- dolce cattiva drogata - vale lp lyrics
- maison - margiiela lyrics
- hiroshima - sigma (ru) lyrics
- time alone - bien (kenya) lyrics
- facetune - adam casanova lyrics
- beställ inte en こんにちは (schrödingers hasch) - inspeqtah phunky lyrics
- tantas veces - diego dibos lyrics