
nchi yangu - ksonrap lyrics
Loading...
nchi yangu ibarikiwa milima mabonde bahari na maziwa;
ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha mpunga mahindi maharage mpaka miwa, uwoto wa asili ;
ufugaji wanyama kama ng’ombe mbuzi na ndege kama njiwa;
historia za machief wakati wa ukoloni nakabla hatujatawaliwa ukija utahadithiwa;
pita bagamoyo zanzibar mpak kilwa;utapata vinjwaji asilia kilimanjaro kuna mbege korogwe kuna ulanzi mn*z* mpaka piwa;
bungeni kuna siwa, madini yakila aina tumetunukiwa;
hakuna ukabila ukija hauto baguliwa,amani na upendo hauto bugudhiwa;
watu wake majasiri kama kijana majaliwa;
inabidi tuwe wazalendo tulinde nchi mali nisije zikaibiwa;
sio tu flyover ndege za abiria na mizigo zimeisha nunuliwa;
Random Song Lyrics :
- antichrist - cl6ncy lyrics
- fez - pay for soup lyrics
- slow it down - emcee kb lyrics
- really like dat - clean up man lyrics
- when i'm gone - remieworld lyrics
- lucky joe's - drag the river lyrics
- tomber love - laety lyrics
- i'm just someone you run from - eddy raven lyrics
- guardian - nothing sacred lyrics
- tré - kolg8eight lyrics