
pombe - kusah lyrics
instrumental playing…
wanangu pombe pombe tamu
nikinywa pombe mi nakua mtamu…x2
hamba hambawena my darling
tunywe pombe tulewe leo
halafu kuna kale kafeeling
unakunywa pombe umezama
kwenye penzi penziii
nikupe siri nikilewa uwa nalewa
si tukilewa ni tunalewa
na sina shida na mtu na sigusi demu wa mtu
sipigani na mtu wala situkani mtu…x2
wanangu pombe pombe tamu
nikinywa pombe mimi nakua mtamu…x2
na nakua na confidence hata kama una evidence
halafu najuaga kudance mambo inakuaga nyepesi
igwe igwe leleleee
igwe lelelee…x2
igwe lelelee
igwe leleleee
igwe igwe lelelee
igwe lelelee
walisema hatujui kucheza waonyeshe tunachezaje
wale walidis hatujui kucheza waonyeshe tunachezaje
ayaya matingwena
ayaya maswenge…x2
ewe baba kibawise (eeh)
heshima utapata (aah)…x2
aya punguza mchezo punguza maneno
punguza mchezo we nesa ngerebe…x2
oya chinno
oya loui na boss
oya kussah na boss
ale chino na boss
everybody na boss
ale chino na boss anatumia mapene
ale kussah na boss anatumia mapene
wanangu pombe pombe tamu
nikinywa pombe mimi nakua mtamu…x2
mpe short mbili dj
mbili leta kw*ngu okey…x2
me nikilewa huwa nalewa
si tukilewa ni tunalewa
Random Song Lyrics :
- lock it - dollhaus lyrics
- golan - dubble g kiluavi lyrics
- something 4 the weekend (12" mix) - nadia oh lyrics
- diggin a hole - mississippi twilight lyrics
- watch them fall - katie herzig lyrics
- “no cap drill” - lil flashyy lyrics
- let him cook (slowed, reverb) - source guy lyrics
- mourir à capri - gilbert bécaud lyrics
- sem você / te amo tanto - tarcísio do acordeon lyrics
- weddingring - kurai lyrics