
ukiniita - kusah lyrics
[intro]
ololoooh! kusah tena…
enh! cookie…
[verse 1]
nilichelewa wapi kuyapata mapenzi
mpaka moyo ukaeka doa
kila nilompenda alinikomoa
na chuki ya kupenda nikajitoa
onananaa
nimepata mapenzi na nafsi yangu imepoa
makandokando yote nimeyatoa
natamani tuanze vikao vya ndoa
ooooh mamamah…
huyu wa sasa niko radhi aniroge
niko radhi anifanye lolote
niko radhi anifunge nsitokee
nibaki ndanii
penzi lake nimelewa ni pombe
anipe asubiri niombee
me ndo wa kwanza kukivunja kikombe
niwape habari na…
[chorus]
na kesho asubuhi
nitapanda ndege inipeleke juu
nikachore jina lake yeye
iyo asubuhi
nitapanda ndege inipeleke juu
nikachore jina lake yeye
napenda ukiniita ma love
ukiniita hasali
ukiniita wa ubavuni
ety mahabuba
napenda ukiniita ma love
ukiniita hasali
ukiniita wa ubavuni
ety mahabuba
[verse 2]
vinakshinakshi na sukari ya pendo, babe
huu upendo watakimbiza upepo
oooh my ee eeh!
me nnavidonda
niliunguzwa na penzi
nikakataa nkachukia mapenzi
nashukuru nimepata mpenzi
wa kufa na kuzikana naye
na…
[chorus]
na kesho asubuhi
nitapanda ndege inipeleke juu
nikachore jina lake yeye
iyo asubuhi
nitapanda ndege inipeleke juu
nikachore jina lake yeye
napenda ukiniita ma love
ukiniita hasali
ukiniita wa ubavuni
ety mahabuba
napenda ukiniita ma love
ukiniita hasali
ukiniita wa ubavuni
ety mahabuba… eeh!!!
[outro]
mmmmhh ee eeeh
ni kusah tena aah!!
Random Song Lyrics :
- sky high - mersiv lyrics
- boss music - swain turay lyrics
- running up that hill - betty who lyrics
- flat line - ellysium lyrics
- bad timing - summrs lyrics
- world stripping - superp0s lyrics
- anteater on the run caught red handed - cross cromer lyrics
- na silu - žuvi lyrics
- intro - swaggaekler lyrics
- kut - lil filth lyrics