ninyi watumwa - kwaya kuu kikosi cha injili lyrics
1. ninyi watumwa wa bwana yesu [you servants of lord jesus]
mkainue bendera yake [go forth to lift high his flag]
kwa mataifa yote. [to all nations.]
(chorus)
acheni kusema, hatuna nguvu, [stop saying, we do not have strength;]
bwana wenu atawatia nguvu; [your lord will give you strength:]
acheni kusema, hatupendwi, [stop saying, we are not loved;]
bwana yesu ndiye mpenzi wenu. [lord jesus is your beloved.]
2. makuhani wa bwana yesu [priests of lord jesus]
kazi hiyo mmepewa, k-mwinua [you have been tasked, to lift him high]
kwa mataifa yote. [to all nations.]
3. hata shetani akiwapinga [even though satan opposes you]
bwana yesu ndiye mshindi [lord jesus is the victor]
kwa mataifa yote. [in all nations.]
text and tune by rev. yemorini mgallah in 1970s. this song was sung during his wedding.
© 2014 by kikosi cha injili tanzania. all rights reserved.
Random Song Lyrics :
- that night - janet tung lyrics
- komfort - renne dang lyrics
- pedestal - fog lake lyrics
- light as a feather - otnes lyrics
- the conservative - the orlons lyrics
- nie rób scen - dagga lyrics
- ltrain - hi, i'm chris lyrics
- that is my life, that is yours - king krule lyrics
- mistake - daniel okaro lyrics
- motion - zimm lyrics