lirik lagu kuzitoka – moji shortbabaa
naskia kuzito
naskia kuzitoka
juu ya kule nimeto
juu ya kule nimetoka
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
naskia niko high, si ndogogio
ni vile nimetoka far, morio
amenipata kwa mtaa kwa ma ngori io
sa maisha tam, tam kama oreo
wacha nizitoke nizitoke
alinipata pale chini kwa matope ie
wacha nizitoke nizitoke
mi na ye ka mkisii na matoke ie
sa mikono juu ka za pastor
na shetani ako chini kama duster
tingiza mguu ka haina plaster
tuzitoke twende faster
naskia kuzito
naskia kuzitoka
juu ya kule nimeto
juu ya kule nimetoka
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
amefuta chovya hakuna kurira
chini ya mwamba, mwamba ndiyo naturira
no games hapa; hii si mupira
kanifunza mengi mengi hadi subira
wengi wazitoka wakiona chief ama rais ako area
mi n-z-toka juu nashukuru niko hai niko area
basi mikono juu ka za pastor
na shetani ako chini kama duster
tingiza mguu ka haina plaster
tuzitoke twende faster
naskia kuzito
naskia kuzitoka
juu ya kule nimeto
juu ya kule nimetoka
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha ni-do
wacha ni-do kama daudi
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
wacha nizitoke
nizitoke
mmh ah ah ah n-z-toka mmh ah ah ah
mmh ah ah ah n-z-toka mmh ah ah ah
mmh ah ah ah we zitoke mmh ah ah ah
mmh ah ah ah we zitoke mmh
basi, wacha tuzitoke
tuzitoke
basi wacha tuzitoke
tuzitoke
basi wacha tuzitoke
tuzitoke
basi wacha tuzitoke
tuzitoke
naskia kuzito
naskia kuzitoka
juu ya kule nimeto
juu ya kule nimetoka
lirik lagu lainnya :
- kumpulan lirik lagu terrorist lipgloss › lirik lagu doxx blormphf natzis – terrorist lipgloss
- kumpulan lirik lagu dwellers › lirik lagu ur day will come. – ‘dwellers
- kumpulan lirik lagu strong black › lirik lagu pego un tiro – strong black
- kumpulan lirik lagu biv › lirik lagu let’s drown together – biv
- kumpulan lirik lagu shinigami › lirik lagu sanguine paradise remix – shinigami
- kumpulan lirik lagu emersxxn › lirik lagu rappers mentem sempre – emersxxn
- kumpulan lirik lagu stone cold fox › lirik lagu adaptation – stone cold fox
- kumpulan lirik lagu ernia › lirik lagu morto dentro – ernia
- kumpulan lirik lagu clint black › lirik lagu the only one – clint black
- kumpulan lirik lagu syphilic › lirik lagu alterboy alternative – syphilic