
na iwe - lady jay dee lyrics
[intro]
[?]
[verse 1: lady jaydee]
utokapo na uingiapo
na uendapo, ah ooh
baraka n*z*kufate
kila uendapo
uketipo, usimamapo na ulalapo
ah, ooh
[pre*chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe
[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 2: lady jaydee]
mibaraka tunapokea
tunashukuru sana
kutuinua na kutupenda
unatupenda sana
mw*ngaza na kupwa
nuru twaiona njiani
tusimame, tukusifu
[pre*chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe
[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 3: maunda zorro]
umeonyesha upendo wako
juu yetu
ukafanya neno liwe njia
kati yetu
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
[pre*chorus: maunda zorro]
na iwe
na iwе
na iwe
na iwe
[chorus: maunda zorro & lady jaydee]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwе
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
Random Song Lyrics :
- 00 - neya (hrv) lyrics
- why u look so mad - riven lyrics
- run ༄ - ydane lyrics
- courtroom dream - rafael casal & daveed diggs lyrics
- i'm counting on you - jackie deshannon lyrics
- enthralled not by her curious blend - matana roberts lyrics
- never meant - thomas dong lyrics
- gender envy - ocarth lyrics
- unutra - krešo bengalka lyrics
- keine ewigkeit - ernstfall lyrics