
ndoto yangu - lady jay dee lyrics
[verse 1: lady jaydee]
kila ninacho ona
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
kila nilicho omba, ah
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
…
[verse 2: rama dee]
kila kiu yangu, eh
wewe ndio yangu champagne
you’re the one i love, yeah
ndoto yangu, nilale
[verse 3: lady jaydee]
you’re my one and only
hakika, kituo ni hapa
hujanifanya nikonde
nanenepa ukiwa hapa
[pre*chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[hook: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
[verse 4: rama dee]
tulitembea pamoja
kuif*kuzia hii ndoto
tulipigana pamoja
kuikaribia hii ndoto
tuliamini, amini
tukakubaliana
mi nawe
ndoto yangu, ndoto yako
ndoto yako, ndoto yangu
mafanikio tuliyo nayo
si bahati, ni mipango
baby
[pre*chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[outro: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
Random Song Lyrics :
- fitcheck - siohash, kusha lyrics
- his blue eyes. - lucas nino lyrics
- pouritup! - zalyx lyrics
- haven bros - mtp, dannyonthetrack, matt prew lyrics
- sometimes (old phone recording) - bonner brackeen lyrics
- what i need - mrk (ua) lyrics
- born again - gio sbg lyrics
- montagem tomada - slowed - mxzi lyrics
- for elizard - tortuga (poland) lyrics
- the dup dup song - thank you gigi lyrics