
habibi - lava lava lyrics
una rangi ya chotara manga manga asili ya kizanzibari
chocolate color mixer mtanga tanga unang’ara ng’aring’ari
ngozi laini kachori sambusa bagia
upo kama mdoli yaani kama wabandia eeeeh eeh eeeh
ukitembea koko (koko) uko nyuma baikoko (koko) mzigo sio wa buku jero
sotojo la bokoboko (koko) laini
nyanya ya kopo (kopo) yaani bunyero bunyero
eeeh eeh achana na kina gigi hawana lolote
watazusha nawajigjig penzi watie tope
nikupeleke kwa bibi tifah ma dangote
uvae shela wigi utapata kwa aristote habibi
habibi nurul’ayn kipenda roho
habibi nyonga mkalia ini uh ooh
habibi nurul’ayn kipenda roho
habibi nyonga mkalia ini uh ooh
mmh penzi lisiwe dibaji zidisha utamu tende
mahaba yawe full chaji tukomeshe fisadi viwembe
nikandekande m-ssage wabaki kupiga vijembe
weka hiriki magadi ongeza na peremende
ah haaa mchunge shetwani mama twende pole pole
ah haaa kuna esma khan na kina juma lokole
ah haaa wasikupande kichwani wakazua mambo uchocholee
ah haaa iwe aibu mtaani insta michambo wanich0r-
achana na kina gigi hawana lolote
watazusha nawajigjig penzi watie tope
nikupeleke kwa bibi tifah ma dangote
uvae shela wigi utapata kwa aristote habibi
habibi nurul’ayn kipenda roho
habibi nyonga mkalia ini uh ooh
habibi nurul’ayn kipenda roho
habibi nyonga mkalia ini uh ooh
usije kughaili ghaili, mi mwingine sina
usije kughaili ghaili, penzi likachina
usije kughaili ghaili, ukanitosa mazima
usije kughaili ghaili, nuru ikazima
Random Song Lyrics :
- kıyametim - mehmet borukcu lyrics
- ателье paradise kiss - cavalier loves you lyrics
- that leeds feeling - indignation meeting lyrics
- this kinda mid lmao.mp3 - 30nickk lyrics
- koraho - elwati elve lyrics
- the void. - cassandra alexa lyrics
- 이판사판 (double of nothing) - norazo(노라조) lyrics
- quicksand - eva snyder lyrics
- treat her right - feezoo! lyrics
- неважно (nevazno) - фогель (fogel) lyrics