
propeller - leteipa the king lyrics
#intro
yeiyeiyeeeh
ni vampk
iyeeyeiyeeaah, 254
#verse
unanigusa maini ukiinama
joto linapanda mbona nachomeka
iyeeeh
ukizungusha mashini sifai mama
kopo linajaza donda watonesha
mi ndo shati we ndo tai
(huuuh! huuuh!)
osha nikuchafulie
mi sukari we ndo chai
(huuuh! huuuh!)
ntaonja unipakulie
na umeniweza
unavyopendeza, yangu makengeza babe
na unavyocheza
ukijilegeza ntakutendereza lady
si uko fine, unavyowine
unanitease na sk!lls zako divine
ladha ya wine, njoo nik*mine
unifilis na bills zako simind
#chorus
(propellar)
uuuuuuiiih
(propellar)
tingisha kiuno kipropellar
(propellar) eeeeh
iyeeeh
tingisha kiuno kipropellar
(propellar)
(propellar)
(propellar)
(propellar)
(propellar)
#verse
chiii! kwanza katoto kiuno, uno uno
kanakatika miuno, uno, (eeeeeh)
nishike kwa juu mama humo humo humo
pepeta ukiwa huko, huko, huko
mhhh
laiti kama ungеlijua we ndo w*ngu dua
umenishika kwa chini
yaani mpaka nazuzua
yaani popo eeh poporipo
nishike kwa chini hadi kokoriko
mtoto jojo ana doido
kashingo kеmbamba ni poporipo
kwanza fanya unainama
(sare sare)
maua sama
zungusha body mama kaitaba
(sare sare)
asa ma kiuno kata
unafanya mizuka inapanda
(sare sare)
chekecha ninakuapia
unapiga miuno kisamantha
(sare sare)
hadi mimi ninajifia
#chorus
(propellar)
(propellar)
tingisha kiuno kipropellar
(propellar) eeeeh
iyeeeh
tingisha kiuno kipropellar
(propellar)
Random Song Lyrics :
- wildlife - orlando mcfly lyrics
- chase you down (cover) - maybel montez lyrics
- game ft conway the machine - datbummason lyrics
- the devil went down to georgia - primus lyrics
- chupi chupi - akassh lyrics
- ghosting - emily reo lyrics
- たられば | tarareba - amazarashi lyrics
- over the hill - intellexual lyrics
- asleep - simon servida lyrics
- save me - ali fulbright lyrics