
ringtone - leteipa the king lyrics
verse 1{leteipa the king}
mhhh
umbo lako thufutwende, ka ulizaliwa na mavazi
fat ndondero, hot morero
na ungewa peremende, ningekula mpaka karatasi
kakitoweo, my kipepeo
wengine mihogo, kwako nala maoni
yani mkorogo, smooth kitu laini
na akina mbogo
wakileta zogo
ntawalamba gogo
wajue we ni wa mine iih
ndugu zangu usiwasikie
dada zangu uwavumilie
hawataki tufurahie mimi na wewe
nipikie niwafurie
tupendane washuhudie
baadae wasimulie. kwa majirani
chorus (leteipa the king)
sauti kama kinanda (my ringtone)
we ndo yangu burudani (my ringtone)
we ndo pete mi ndo chanda (my ringtone)
nakukabidhi usukani (my ringtone)
we ndo my queeeeeeen(my ringtone)
all i neeeeeeeeed (my ringtone)
aaaaaaah (my ringtone)
mhhh (my ringtone)
yeiyeeeeh (my ringtone)
verse 2. {shann cool}
handsome, gentle, ndume la kimasai
future husband, my best song, wote wanakudai
wasikulaghai, ati sikufai
ni mimi na wewe mpaka mwisho tukifly
napenda ukiniita
voice kama guitar
sweetart
my mister
definitely my minister
agiza upewe
niguze nilewe
ukija nyumbani naomba usichelewe
na hawa mamwewe
babe nielewe
hawataki kuona tukifurahi na wewe
nakuhakikishia
ntakuhudumia
unawiri, unone, wabaki wan*z*mia
nawakirudia
kukukaribia
ntangoa mtu meno, wajue nakuzimia
chorus (leteipa the king)
sauti kama kinanda (my ringtone)
we ndo yangu burudani (my ringtone)
we ndo pete mi ndo chanda (my ringtone)
nakukabidhi usukani (my ringtone)
we ndo my queeeeeeen(my ringtone)
all i neeeeeeeeed (my ringtone)
aaaaaaah (my ringtone)
mhhh (my ringtone)
yeiyeeeeh (my ringtone)
Random Song Lyrics :
- grieta - sam diego lyrics
- out of my mind - sn0wcrash lyrics
- novinho de 17 / pau quebra - cl no beat & cleytinho paz lyrics
- forever - louionten lyrics
- воспоминания - pretty prince lyrics
- shut down the crowd - swaskiii lyrics
- yama fil habs mazaleem - cairokee lyrics
- cola aqui - joão bosco e gabriel lyrics
- rock &/or roll recovery - versechorusverse lyrics
- prosegur hoe - leïti sene & young wolf beatz lyrics