
utaniona - linex lyrics
[intro]
the v.o.a
the bad number
[verse 1]
mimi mdhaifu, nina mapungufu
si mkamilifu, ooh, ooh
hitaji langu la moyo
ni msamaha wako
yesu
[chorus]
naweza jivika usafi ‘mbele ya uso wa dunia, ah
nikayaficha maovu yangu bwana
(utaniona)
ila sio kwako, bwana ‘ah
(utaniona)
ila sio kwako, bwana ‘ah
(utaniona)
ah, ah
[post*chorus]
hata nijinyenyekee kwa viongozi wa makanisa
kama yesu hauko ndani yangu
mimi ni bure kabisa
oh, yesu nimekuja kwako
unipokee, ‘eh, eh, eh
oh, yesu nimekuja kwako
unipokee, ‘eh, eh, eh
[verse 2]
nikufananishe na nini, bwana
(haufananishwi)
nikutolee sadaka gani, bwana
(ya kukutosha)
sina wema wa kutosha
dhambi zangu kuziosha
kutomsahau mungu katika fanaka
(tusikusahau bwana)
tukizingatia
tutapata kuishi na kuongezeka
[chorus]
naweza jivika usafi ‘mbele ya uso wa dunia, ah
nikayaficha maovu yangu bwana
(utaniona)
ila sio kwako, bwana ‘ah
(utaniona)
ila sio kwako, bwana ‘ah
(utaniona)
ah, ah
[post*chorus]
hata nijinyenyekee kwa viongozi wa makanisa
kama yesu hauko ndani yangu
mimi ni bure kabisa
oh, yesu nimekuja kwako
unipokee, ‘eh, eh, eh
oh, yesu nimekuja kwako
unipokee, ‘eh, eh, eh
numbеr
Random Song Lyrics :
- gazing beyond - implore lyrics
- tapetes, guardanapos, cetins - marcos valle lyrics
- wake up - drnl lyrics
- l3onf - l7or الحر lyrics
- cheated - buju banton lyrics
- get it now - ttvkell lyrics
- the antagonist - kill the kong lyrics
- rush - j.mp3 lyrics
- aire - dani j lyrics
- de nacht is van ons - antoon lyrics