
sawa - lizone ntio lyrics
vyote ulivyoposti nili like nakukomenti, j*po moyo uliumia, moyo w*ngu uliumia
nikajikokota niketi masikini wakuchiti, huku bujibuji najivujia, machozi najivujia
huku ndani ndani moyo unalia
zile k*mbuk*mbu nawe, zikawa zanisuta nijiue
kweli haunijali wewe, unampenda mwengine nijishaue aah nijishaue
mara nikak*mbuka ndoto, tulikua na ndoto
minawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
nikak*mbuka ndoto, tulikua na ndoto
mi nawe tupate watoto, wakwanza ndio cynto
j*po haitatimia
ni sawa (hata nisipopona)
ni sawa (aah moyo w*ngu)
ni sawa (hata uliumia)
ooh ni sawa (hata usipopenda)
ni sawa (moyo w*ngu)
ni sawa (aah jamani)
ni sawa (hata usipopona)
ni sawa
maumivu ya moyo w*ngu, sawa kuchomwa kisu cha moto
nikiitazama simu yangu, umempost caption wandoto
mwenzako bado najitazama, kisha namtazama, najiuliza nakosa nini, mpaka wewe hunithamini
ama kwake ndio salama, kw*ngu hakuna cha mana, hata kitanda changu chini, ndio mana hunithamini
mara nikak*mbuka ndoto, tulikua na ndoto, mi nawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
nikak*mbuka ndoto, tulikua na ndoto, mi nawe tupate watoto, wakwanza awe cynto
j*po ndoto haitatimia
ni sawa(hata nisipopona)
ni sawa (aah moyo w*ngu)
ni sawa (j*po umeuvunja moyo w*ngu)
ni sawa (sidhani tena nitapenda)
ni sawa (maumivu ya moyo w*ngu)
ooh ni sawa (oooh)
ni sawa
aah ni sawa
(vyote ulivyoposti nili like nakukomenti, j*po moyo uliumia, moyo w*ngu uliumia)
thunder music open world
Random Song Lyrics :
- rtv - cypeq lyrics
- distance - laety lyrics
- closer to your dreams - uriah heep lyrics
- the lovecats - kaki king lyrics
- porque es tomate - pol_lol_omg lyrics
- comfy - seoa lyrics
- dreams - sinicalhiphop lyrics
- adi dzieciak - urvn lyrics
- t.o.l. (thoughts on life) - norriluvsu lyrics
- chcę trochę spokoju - svm3k lyrics