lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jonte official music lyrics - abel mutua (mkurugenzi) lyrics

Loading...

mmmmh mmmh
mmh mmhh

kama ni vita wacha tupigane
msiseme tena ati tuskizane
hakuna hakuna amwezaye
jonte jonte hebu jitokeze

simama (aiyaya yaaa heyyaa)
mwanzo wa mwisho umekaribia
simama
mwanzo wa mwisho umekaribia

wacha niseme wacha nieleze
yule atatuweza hebu nionyeshe
tupe uwezo mola tuongoze
imba kwa sauti wote wasikie
aaah aah

simama
mwanzo wa mwisho umekaribia
aaah aah simama
mwanzo wa mwisho umekaribia
aaah aah simama
mwanzo wa mwisho umekaribia
aaah aaah simama
mwanzo wa mwisho umekaribia

simama
mwanzo wa mwisho umekaribia

aaah aaah simama
mwanzo wa mwisho umekaribia

aaaah aaah simama
mwanzo wa mwisho umekaribia

aaaah aaah simama
mwanzo wa mwisho umekaribia

lyrics by okila

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...