
wange - mad ice lyrics
(intro)
ye gwe w-nge…
(chorus)
woo njagala gwe okimanye
nti yegwe w-nge… kimanye.
nkwagalanyo mukwano… era.
sirikulekanze mukabi… owaah
nakupenda sana
(verse 1)
eh siwezi ishi bila yako wee darlin’
penzi lako kw-ngu lathamani
uwapo mbali moyoni sina amani
na kila ninapokuona
furaha tele moyoni
ingawa wanasema eti hunifai
mimi sijali nawaona wazushi
hata wakisema eti hunifai
mimi sijali masikio nimeziba
watasema usiku watalala
watasema mwishioni watachoka
mimi sibadiliki hey iyeeh.
(chorus)
woo njagala gwe okimanye
nti yegwe w-nge… kimanye.
nkwagalanyo mukwano… era.
sirikulekanze mukabi… owaah
nakupenda sana
(verse 2)
hebu sikia
wewe ndiye w-ngu wamilele
niliye mchaguwa kati ya wale wengi
nataka tufunge pingu za maisha
kwa hiyo wote wajue kamwe sikuachi
ingawa wanasema eti hunifai
mimi sijali nawaona wazushi
hata wakisema eti hunifai
mimi sijali masikio nimeziba
watasema usiku watalala
watasema mwishioni watachoka
mimi sibadiliki hey iyeeh.
(chorus)
woo njagala gwe okimanye
nti yegwe w-nge… kimanye.
nkwagalanyo mukwano… era.
sirikulekanze mukabi… owaah
nakupenda sana
(bridge)
yegwe w-nge… yegwe gwenetaga… mubulamu bw-nge
njoo kw-ngu wee… hey eeh hey eeh
nakaka ujue… nti yegewe w-nge
(chorus)
woo njagala gwe okimanye
nti yegwe w-nge… kimanye.
nkwagalanyo mukwano… era.
sirikulekanze mukabi… owaah
nakupenda sana
nakupenda sana wewe
(nataka ujue… nataka ujue
kuwa nakupenda sana) x 2
Random Song Lyrics :
- haute couture / your song - sison beats lyrics
- sin letras no hay paraíso - mañas rufino lyrics
- the room over the bar - chuck brodsky lyrics
- pegasus - big steve lyrics
- daybreak - ryan dawson lyrics
- the hidden obvious - jeff adams lyrics
- mi propia inversión - denom lyrics
- mavretto - lil garti lyrics
- livin' - jetta lyrics
- my love - dory harsa lyrics