
anyinya - marioo lyrics
ah inama nione yote yote
changama nilaani kama lote
changa nipe maji kakoba koba kawalalae
kaanga maviazi kwa kutokota kepeyai
ikatie karoti, uisage iwe rojorojo
nishamwaga noti, nikirudi nikute sotojo
unyunyuzie na sosi, unavyotenga ongeza mikogo kogokogo
ah itumie uwezavyo hii
ya matumizi ananitua
chukua, yote yako
nakupa chukua, yote yako
eeh nakupa chukua, yote yako
eeh pesa chukua, yote yako
ya matumizi ananitua
anyanyinya
anyanyanya
anyanyi nyanya nyanya
ah nyanyanya
nataka nyama kipapatiro
eeeh kipapatiro
ya kuku wa kienyeji eeh
na sembe kilo
nimemiss nyama kipapatiro
eeeh kipapatiro
na kakuku wa kienyeji eeh
kwenye mboga chumvi iwe kido kido
naogopa za fura eeh
we aisee imwage kilo kilo
mapresha eeh
ikatie karoti, uisage iwe rojorojo
nishamwaga noti, nikirudi nikute sotojo
unyunyuzie na sosi, unavyotеnga ongeza mikogo kogokogo
ah itumie uwezavyo hii
ya matumizi ananitua
chukua, yotе yako
nakupa chukua, yote yako
eeh nakupa chukua, yote yako
eeh pesa chukua, yote yako
ya matumizi ananitua
anyanyinya
anyanyanya
anyanyi nyanya nyanya
ah nyanyanya
Random Song Lyrics :
- poisonous - meiianie lyrics
- am plecat de jos (și după v-am dat în sloboz) - azteca lyrics
- how bout now (remix) - flannel albert lyrics
- pirocada de bandido (part. barca na batida, menino do luxo mc índia e mc gw) - letras.mus lyrics
- mystic - midge robie lyrics
- pop smoke - tribute mix - pop smoke lyrics
- wandering man - fairport convention lyrics
- fetch (female version) - littlejuniper lyrics
- way down - rae khalil lyrics
- elvis - saint soprano lyrics