
ha ha ha - marioo lyrics
[chorus]
nacheka kwa dharau
nawapandisha nawashusha kama
nacheka kwa dharau, ha*ha*ha
nawapandisha nawashusha kama, ha*ha*ha
[verse 1]
mjini akili nguvu, nenda shamba ukalime
uone wenzako wajanja – akina stepa montana
silaha, pesa, mambo – visumishu utarini
watu wanasusha magorime
kamanda usinipeleke, ntakupa bukutan
seke seke lote kwa tafutan
kete kete tulikuwa mtu tano
sa mbona naisha mwenyewee
[pre‑chorus]
mwanamke, mwanamke (wo wo wo)
mwanaume, mwanaume (furusi)
mwanamke, mwanamke (wo wo wo)
mwanaume, mwanaume
[chorus]
nacheka kwa dharau, ha*ha*ha
nawapandisha nawashusha kama, ha*ha*ha
nacheka kwa dharau, ha*ha*ha
nawapandisha nawashusha kama, ha*ha*ha
[verse 2]
yeye akimwaga mboga mwaga ugali (bado poa)
mkikucheat mlipizia (bado poa)
mkileta mbwai, leta mbwai (bado poa)
kwani vipi? kwani vipi? mambo poa
wee hukui
mpaka leo bado nalilia mapenzi
eeh makuzini
michezo, michezo, michezo hiyoo
[pre‑chorus]
mwanamke, mwanamke (wo wo wo)
mwanaume, mwanaume (furusi)
mwanamke, mwanamke (wo wo wo)
mwanaume, mwanaume
[chorus
nacheka kwa dharau, ha*ha*ha
nawapandisha nawashusha kama, ha*ha*ha
nacheka kwa dharau, ha*ha*ha
nawapandisha nawashusha kama, ha*ha*ha
Random Song Lyrics :
- wya? - haawws lyrics
- enervated - sarmat (technical death) lyrics
- georgia tech - 4400dy lyrics
- ahd eldonia | أهد الدنيا - ramy sabry - رامي صبري lyrics
- la gente del fresa - marca mp lyrics
- padmé - fulcrum lyrics
- живий (alive) - kashlyayuchyu ed lyrics
- hold my head - lutalo lyrics
- между нами (between us) - superkomfort lyrics
- red bull 64 bars - easta lyrics