
mvua - marioo lyrics
[verse 1]
mungu ndio mtaalamu
mtaalamu wa k*mechisha
ndomana kaamua kunipa wewe we
ona tulivyo mechisha
ah mungu, fundi
dongo kalifinyanga
mzuri, hauna mapepe pepe
nami mawenge sinanga
moja, mbili na tatu
namba zote zakwako
mi kama maji mtungini
sina makando kando
[pre*chorus]
baby mimi na wewe
ni mtu na mtu wake eeh
sifurukuti, siruki
ndege na mti wake
mimi na wewe
mtu na tamu yake
nishajipata, sij*patikana
na kama inyesha inyeshe
[chorus]
ooo mvua
mvua nyesha mvua
huku nataka nik*mbatiwe mimi
mvua nyesha mvua
ooo mvua
mvua nyesha mvua
huku nataka nipetiwe mimi
mvua nyesha mvua, mvua
[verse 2]
i wish ningekuwa na uwezo ni mjengee mama ake
nyumba kali mombasa
mama mzaaa chema
kaweza, kaweza tena
ningekuwa na uwezo ninge mlеtea baba ake
hata ka verossa
baba mzaaa chеma, kaweza
mana ingekuwa mapenzi, safari safari
muda huu niko kigoma, mwisho wa reli
[pre*chorus]
baby mimi na wewe
ni mtu na mtu wake eeh
sifurukuti, siruki
ndege na mti wake
mimi na wewe
mtu na tamu yake
nishajipata, sij*patikana
na kama inyesha inyeshe
[chorus]
ooo mvua
mvua nyesha mvua
huku nataka nik*mbatiwe mimi
mvua nyesha mvua
ooo mvua
mvua nyesha mvua
huku nataka nipetiwe mimi
mvua nyesha mvua, mvua
Random Song Lyrics :
- i'll be there - fiji (george veikoso) lyrics
- en strålande jul - niklas lind lyrics
- dominance - beechamm lyrics
- no me vayas a engañar - antonio machín lyrics
- kann sein - sha lyrics
- 40 bars - one the incredible lyrics
- tenn - night beds lyrics
- jungman jansson - dan viktor lyrics
- que hubiera sido - en vivo desde houston/2008 - duelo lyrics
- é triste - halete mc e alkappa lyrics