
salioo - marioo lyrics
[intro]
kutoka, haloo
oh
oh, yeah
[pre*chorus]
nashukuru nimejua kisa salioo
ngoja kwanza nitafute hela
k*mbe shida sina salioo
acha basi nikatafute hela
[chorus]
si ungesema kisa he* (he)
ndio inayofanya nikose raha (la)
si ungesema kisa he* (he)
ndio inayofanya nikose raha (la)
[verse 1]
mi nakaa naumiza ndonga
alm*n*sra nidate, ah
nimekaa naumiza ndonga
chupuchupu nipagawe, bae
maana usiku kucha unanisifia
kukikucha una ni*cheat
na tena, ‘mara kwa mara unaniambia
kitu yangu ndio ina fit
mara pah, natumiwa video zako unaliwa
mate kwenye ndinga, ah
mara ghafla naambiwa una danga lako lenye umri wa kukuzaa
nikawa na shangaa
[hook 1]
nashukuru nimejua kisa salioo
ngoja kwanza nitafute hela
k*mbe shida sina salioo
acha basi nikatafute hela
[chorus]
si ungesema kisa he* (he)
ndio inayofanya nikose raha (la)
si ungesema kisa he* (he)
ndio inayofanya nikose raha (la)
[instrumental break]
[bridge]
mmm*mm, yeah
ah, ah
[verse 2]
si kila kitu tulifanya kwa ajili yako
na wewe ukaniahidi utazikwa na mimi
hata kitu niliwasha kwa ajili yako
ni wewe ndio ulitaka uvute na mimi
maneno yako yaliniaminisha ‘na mi nikajiamini
(comfortability)
vitendo vyako viliniaminisha, k*mbe sio
(negativity)
ah
[hook 2]
mara pah, natumiwa video zako unaliwa
mate kwenye ndinga, ah
mara ghafla naambiwa una danga lako lenye umri wa kukuzaa
nikawa na shangaa
[hook 3]
nashukuru nimejua kisa salioo
ngoja kwanza nikatafute hela
k*mbe shida sina salioo
acha basi nikatafute hela
[post*chorus]
si ungesema kisa he* (he)
ndio inayofanya nikose raha (la)
si ungesema kisa hela (he)
ndio inayofanya nikose raha (la)
oh, yeah
nafanya nikose raha
Random Song Lyrics :
- где зимует лето? (where does summer winter?) - gayazov$ brother$ lyrics
- where angels play (demo) - the stone roses lyrics
- caiguda lliure - fornax lyrics
- 슬픈얼굴 보이긴 싫어 (i don't want to show a sad face) - kim wan sun lyrics
- drunk in love - yung yury, damn yury & fewtile lyrics
- flooding - themusicnerdguy lyrics
- down fall - casanova lyrics
- avançar com ímpeto - potente durâmen lyrics
- she loves the rain - teddy swims lyrics
- scoreboard (all that)* - antowill lyrics