
wangu - marioo lyrics
[intro: marioo & harmonize]
yeah
yow, yow, (hehe)
(coughs)
bomboclaaa*, (hehe)
aah*ah
kutoka, haloo
[verse 1: marioo]
kama utani moyoni ameingia
na mi nimeshazama
tulikutana tiktok ndio mwanzo kufahamiana
mara ghafla, bin vu!
kila kitu tunaendana
ameninasa ka ulimbo
sitaki acha k*mtazama, weeh
[pre*chorus: marioo]
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
[chorus: marioo]
asa nataka wajue unanipenda ‘niite, “baby”
(baby w*ngu)
kwa wasio amini we ni w*ngu ‘niite, “my”
(my w*ngu)
hata ukiniposti caption andika “sweetie”
(sweetie w*ngu)
wakija kukutongoza waambie ‘mi na mpenzi, hey
(mpenzi w*ngu)
[bridge: harmonize]
mh*mh
uh…
konde boy call me number one
[verse 2: harmonize]
muombe mungu uzima
tatizo la mapenzi kanituma mimi
nikupe…
ni kupende
iwe madimbwi, milima
we fly any weather
wa ubani ndio mimi wa upendo
nikupe… (mh*mh)
ni kupende
muoga wa ku*cheat, ndio huwezi
ya uongo ndio kabisa siwezi
nalikizama unao tamba ni mwezi
nakuposti wajue sijiwezi baby
[hook 1: harmonize]
ona, penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
kama maji ya bomba
penzi mbona limenoga
tamu kuzidi hata soda
penzi mbona linamwagika
(ah, doh)
kama maji ya bomba
[post*chorus: harmonize & marioo]
mi nataka wajue kama unanipenda ‘niite, “baby”
(baby w*ngu)
na kama ukiniposti snapchat ‘niite, “my”
(my w*ngu)
you’re my one and only, my love, my sweetie
(sweetie w*ngu)
wakija kukutongoza wajibu ‘wewe unaye mpenzi
(mpenzi w*ngu)
[outro: harmonize]
bomboclaaa*
Random Song Lyrics :
- little well - liriel freitas lyrics
- glänzend - tommy morgenstern lyrics
- racks in my city - lil bandage lyrics
- mr clean pt 2 - lil kori lyrics
- burnin' time - doc friday lyrics
- contaminamos (versión 2005) - platero y tú lyrics
- triple trouble - erickhatesbmc lyrics
- you just lie - demonitta lyrics
- gone (owl city version) - switchfoot & owl city lyrics
- be my baby tonight - uni boys lyrics