
chuchumaa - maua sama lyrics
[intro]
maua sama mama fololo
sauti inatoka mawinguni
[maua sama]
nani kama nyoshi jamani (hakuna)
nipe penzi la kikoloni
oh bwana kwa vituko vyako baba ee
mi nacheka ee
wanipa ushau umeshanichota yeah
nyoshi el saadat, sauti ya simba
[nyoshi el saadat]
kaka usimalize maneno
katafuna videma
mutu mzima dawa
watu kama sisi tunajua kutumia fololo
[maua sama]
we nigee baba we nigee
we nigee penzi la kizee
we nigee we nigee
we nigee nipe nikule
[nyoshi el saadat]
new couple in town
nyoshi el saadat
maua sama
[?]
tukituka out tinga suti ya chuma
mkorogo mwana watatukoma
marashi ya congo papa mobimba
[nyoshi el saadat]
new couple in town
ninachokupendea mapepe hauna
ukiniita danga we ndo unanichuna
nikileta changa nipikie nguna
[?]
[maua sama]
nimeshasanda nimekubali
siambiliki, sioni eeh
[nyoshi el saadat]
[?]
[maua sama]
ukinipakata nachezea sharubu
nami bado nataka
mbali ni sulubu
[chorus : nyoshi el saadat]
chuchumaa, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa mama, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa mama, chuchumaa (chuchumaa)
[maua sama]
hivi twende gwara gwara
haya twende shaku shaku
twende malewa, twende sasa malewa
kata, kata nyoshi kata
kata, kata baba kata
nipe uno la mzazi
kama unapanda mn*z*
nataka nimwage radhi
kitumbua sina n*z*
wape wape, wape baba wape
[chorus : nyoshi el saadat]
chuchumaa, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa mama, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa mama, chuchumaa (chuchumaa)
my [?] combination [?]
doser doser doser doser doser
doser doser
new couple in town
new couple yelelele
new couple in town
new couple yelelele
[nyoshi el saadat]
ale mikono ya juu
mikono ya juu juu juu
mikono ya juu
mikono ya juu
weka mikono kichwani, mabegani
kiunoni
ah mpaka chini, mpaka chini
[chorus : nyoshi el saadat]
chuchumaa, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa mama, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa, chuchumaa (chuchumaa)
chuchumaa mama, chuchumaa (chuchumaa)
Random Song Lyrics :
- never say never - seafret lyrics
- time wasting girl - ten times ukulele lyrics
- camera 360 - mc bangu lyrics
- save our heads - amalia & the architects lyrics
- non mi fotte un cazzo - antee & nor lyrics
- mudei de vida - jovem mark lyrics
- amici - 6occia lyrics
- though you're gone - frank watkinson lyrics
- yeha-noha - sacred lyrics
- a line in the sand (acapella) - linkin park lyrics