lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

itakuwaje - maua sama lyrics

Loading...

[intro]
m.a.u.a sama
yeah
gini x66

[verse 1 : alikiba]
nilisema sitopenda, nimependaa
pendaa tena, aah (aaah)
sasa nimeshatekwaa, mi nimetekwaa
oh, tekwa tena

[pre chorus : alikiba]
yani kama njiwa tunapepea wawili
mi na yeye, hatuna kitendawili
nanenepa jamani, si kwa penzi hili
nisipomwona, mi navurugwa akili

[chorus : maua sama]
mi nawaza, akiniacha
saa itakuwaje? saa itakuwaje? saa itakuwaje?
mi nawaza, akiniacha
saa itakuwaje? saa itakuwaje? saa itakuwaje?

[verse 2 : maua sama]
maapenzi anayonipa
sitomwacha hata aniache katakata
kwa gari nimeshafika
sitoshuka hata anishushe katakata
[pre chorus : maua sama]
kama njiwa tunapepea wawili
mi na yeye, hatuna kitendawili
nanenepa jamani, si kwa penzi hili
nisipomwona, mi navurugwa akili

[chorus : alikiba & maua sama]
mi nawaza, akiniacha (uanze wewe? saa itakuwaje?)
saa itakuwaje? saa itakuwaje? saa itakuwaje?
mi nawaza, akiniacha (uanze wewe au mimi?)
saa itakuwaje? saa itakuwaje? saa itakuwaje?

[outro]
mi nawaza, akiniacha
aaaaaaa saa itakuwaje, beibeeii?

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...