
niteke - maua sama lyrics
[verse 1]
kwako tetere nishazubaa
nipe mchele, usinipe chuyaa
uwache pele, tuliza pupa
oooh oooh
usije ukaniua titiri oooh
oooh nishakupa vyote vyako(ooh lalala)
mautam mamnato(ooh lalala)
[chorus]
niteke! mateka niteke
niteke! niteke teke niteke
niteke teke! mateka niteke
niteke! ooooh…
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
[verse 2]
uma fiti, nidhibiti
ukimumunya pipi
utamu wa kisiginoni
nichikiche nichikichi
na shovu nnje ya kiti
leo unakesha kilindoni
nitw*nge nipepete
nisage nichekeche
nikande niumbuke
kilima nipandishe
kibinda mkoi mkoi(aaaee eeh)
kiwinda pori pori(aaaee)
naringa doli doli(aaaee eeh)
mawinga chori chori
[chorus]
niteke! mateka niteke
niteke! niteke teke niteke
niteke teke! mateka niteke
niteke! ooooh…
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
siri ishia mrama
mwaga mwaga ma
mateka niteke
niteke teke niteke
mateka niteke
ooooh…
mwaga mwaga ma!
Random Song Lyrics :
- una cervecita - dulce floricielo lyrics
- born for more - likee lyrics
- painting (masterpiece) - lewis del mar lyrics
- soul - desiigner lyrics
- when a cowboy trades his spurs for wings - willie watson lyrics
- doori poem - ranveer singh lyrics
- broken dolly - bhadsoul lyrics
- wenn mila schläft - pascow lyrics
- ich und so - muff potter lyrics
- the survival fires - inter arma lyrics