
amepotea - mbosso lyrics
amepotea lyrics * mbosso
vipeperushi vinasambaaa
eti natafutwa
nimepotea, wiki imekata
ndugu wamechachamaa
wananitafuta
nimepotea mwezi imekata
kazini sionekani
yupo wapi huyu
simuni sipatikani
yupo wapi huyu
baba kaniuoizia
yupo waapi huyu
mama haishi kulia
yupo wapi huyu
mimi, nimezama katika kina
kirefu cha bahari ya mapenzi
nimezama katika kina
kirefu cha bahari ya mapenzi
sio mwana rahabu mlomkuta tanga
sijafanywa msukule msipate tabu k*maliza waanga
amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na w*nga
aaah ladha yake, si sukari
ni vichenza na malimao
mechi zake huwa hatari
ni chenga na mabao
kazini sionekani
yupo wapi huyu
simuni sipatikani
yupo wapi huyu
baba kaniuoizia
yupo waapi huyu
mama haishi kulia
yupo wapi huyu
mimi, nimezama katika kina
kirefu cha bahari ya mapenzi
(msinitafute, msihangaike)
nimezama katika kina
kirefu cha bahari ya mapenzi
nipo salama mimi, nipo salama mimi
msinitafute niko salama mimi
Random Song Lyrics :
- adrenalize (mr. kane remix) - in this moment lyrics
- bleeding forest - jak tripper lyrics
- dilla dawg - a.l.m.a. - arma lírica musical da alma lyrics
- nothing like üs part 2 - moises encarnacion lyrics
- la voix se brise - ariel (qc) lyrics
- the gathering - caedmon's call lyrics
- ceduna - surroundings lyrics
- astrology! - 4vrfrancko lyrics
- искра - gust_rsp lyrics
- california landslide - lightnin' hopkins lyrics