dokta - mbosso lyrics
[intro]
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
s2kizzy baby
[verse 1 : mbosso]
yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
mwili joto, naumwa, panawasha, panauma
mwili joto, naumwa, panawasha, panauma
yule mototo wa jana kanifanyaa kama sijielewi
najuta, kuokota, okota
[pre*chorus : mbosso]
dokta nicheki homa, ama u.t.i, nipime damu, ama malaria
dokta nicheki homa, ama u.t.i, nipime damu, ama malaria
dokta nicheki homa, ama u.t.i, nipime damu, ama malaria
dokta nicheki homa, ama u.t.i, nipime damu, ama malaria
[chorus : mbosso]
dokta panawasha, panauma
panawasha, panauma
dokta panawasha, panauma
panawasha, panauma
dokta panawasha, panauma
panawasha, panauma
dokta panawasha, panauma
panawasha, panauma
[bridge]
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
[verse 2 : jaivah]
awe jaivah
aah yini? (ah yini?)
kwenzenjani ? (kwenzenjani ?)
eh malume (eh malume)
kwenzenjani ? (kwenzenjani ?)
ubuhlungu (ubuhlungu)
hlala phansi (hlala phansi)
ngikwazi ukukusiza mngani wami
ah waze wa kuokota kwenye party
wazee wa mitungi kisha mikasi
ah na kuvaa mipira hamtaki
mnaficha nyuma mbele kuko wazi
ah waze wa kuokota kwenye party
wazee wa mitungi kisha mikasi
ah na kuvaa mipira hamtaki
mnaficha nyuma mbele kuko wazi
ulipita kwa bibi nyau
au kwa mpalange (kwa mpalange)
mzee wa kupanda dau eti hutakaki unyonge
ulipita kwa bibi nyau
au kwa mpalange (kwa mpalange)
ulibeba kimbaumbau
ama ulipita na kibonge?
awe
[pre*chorus : mbosso]
dokta nicheki homa, ama u.t.i, nipime damu, ama malaria
dokta nicheki homa, ama u.t.i, nipime damu, ama malaria
dokta nicheki homa, ama u.t.i, nipime damu, ama malaria
dokta nicheki homa, ama u.t.i, nipime damu, ama malaria
[chorus : mbosso]
dokta panawasha, panauma
panawasha, panauma
dokta panawasha, panauma
panawasha, panauma
dokta panawasha, panauma
panawasha, panauma
dokta panawasha, panauma
panawasha, panauma
[outro]
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
zombie na sele
zombie na selemani
Random Song Lyrics :
- gama - osyris lyrics
- čemu nervoza - tonči huljić & madre badessa lyrics
- vogue (strike-a-pose dub) - madonna lyrics
- gelato - alex vince lyrics
- anca gidersin (rock versiyon) - sertab erener lyrics
- here i go again - lynn anderson lyrics
- outfit valioso - mc cebezinho lyrics
- take that - pesso lyrics
- feel at ease - rangga jones lyrics
- molly (remix) - foogiano lyrics