
merijaah - mbosso lyrics
[intro]
s2kizzy baby
[verse 1]
jirani yangu, jirani yangu tumezoeana
mlango wake, mlango w*ngu vinatazamana
sukari kwake, chumvi kw*ngu tukaazimana
akawa bf w*ngu, udugu w*ngu tukashibana
mwisho tukapendana
[pre chorus]
ooh meri merijaah
kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[chorus]
kama ingekuwa ndoo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[bridge]
(oooh meri meri
ooh meri merijaah
oooh meri meri
ooh meri merijaah)
[verse 2]
mwambani mwambani eeeeh
mwambani msuli na khanga
wazania wazania eeheeeeehh
waambie ndo tunayaanza
ooooooooh
[pre chorus]
ooh meri merijaah
kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[chorus]
kama ingekuwa ndo ya maji ingejaa
na kama ingekuwa nguo mwilini ningevaa
oooh meri meri
ooh meri merijaah
[outro]
(oooh meri meri
ooh meri merijaah)
Random Song Lyrics :
- soldi garantiti - domity lyrics
- noch immer für immer - empowerment lyrics
- all i know - boostee lyrics
- solo dios sabe (god only knows) - for king & country & miel san marcos lyrics
- one woman - johnny rivers lyrics
- satisfazte cemporcento - track cheio lyrics
- psychedelic peace lamp - mental as anything lyrics
- record - jaey kilo lyrics
- parade of flowers - the sandfish lyrics
- chúpame la sangre - el momo lyrics