
nadekezwa - mbosso lyrics
hohohoo hohoo hoho
hohohoo hohoo hoho
salamu ulizo nitumia ah
zimenifikia ah
nipo salama hata usijali
nalishwa vitamu
vinono najilia ah
biliyani yangamia
penzi twadalikana poo kidali
nimekusahau
nak*mbuka tu lako jina
kidogo angalu
umengoa mizizi sio kukatashina
penzi wakapanda dau ah
mjini baba pesa fitina
mimi ukanidharau
visenti haba mf*ko umechina
nando uwezo w*ngu ulipo ishia
ningekupa nini tena
kula yangu yakupapasia
(huk*mweza ukaatema)
mimi sina gali
ningekupa nini tena (ooohoohoo)
(huk*mweza ukaatema)
eeeheeehee
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…
ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh
hadi na come come k*minambili arufajiri
na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
kanijaza kanichota kanishika pabayaa
nakutadharisha simu zausiku punguza
unahatarisha penzi langu moto kuunguza
nishakusahau nak*mbuka tuu lako jina
kidogo angaluu
umengoa mizizi sio kukatashina
penzi wakapanda dau anh
mjini baba pesa fitina
mimi ukanidharau
visenti haba mf*ko umechina
nando uwezo w*ngu ulipo ishia
ningekupa nini tena
kula yangu yakupapasia {huk*mweza ukaatema}
mimi sina gali
ningekupa nini tena (ooohoohoo)
{huk*mweza ukaatema}eeeheeehee
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadekezwa
nadeke… nadeke…
Random Song Lyrics :
- dead & gone - regnis, mystic lyrics
- amazon - chiki wanted lyrics
- boys ii men - aka black lyrics
- radici - nimsaj lyrics
- bite me - teddy and the rough riders lyrics
- all for da cheddar - sleeks (smoke boys) lyrics
- poison child - sabbat lyrics
- hello - pop smoke lyrics
- uchigatana - rxrd lyrics
- happy chemicals - maya ricci lyrics