
ova - mbosso lyrics
ova * mbosso lyrics
#verse
vishavu vimeanza kunona
kitambi ndo hichi sasa ona
nitazame, nanenepa nanenepa
nami nimempata chioma
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kunitukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
ova ova
#chorus
ova mi na wewe ova
ova imetosha ova
ova mi na wewe ova
ova nimesema ova
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
#verse
shilingi shilingi shilingi
shilingi yatutoa roho shilingi
shilingi yo ni mwanaharamu shilingi
shilingi ya ua mapenzi
#hook
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
#chorus
ova mi na wewe ova
ova imetosha ova
ova mi na wewe ova
ova nimesema ova
#outro
ulijichanganya, na nilikupenda sana
walokudanganya, ndo walokuponza dear
kujitia mpana, mara kuntukana
kwakweli hapana, nikasema ova dear
ova ova
Random Song Lyrics :
- perception - rob hicks lyrics
- ich liebe dich - radio version - matthias reim lyrics
- 霜月十一拍子嬰二調 (november) - 3776 lyrics
- für mich da - lyran dasz lyrics
- we got it goin in austin - blaqman records lyrics
- luhvin me back - via rosa lyrics
- off - trash panda lyrics
- i love you, what can i say - jerry reed lyrics
- shit's going up - babu sea lyrics
- main event - matt pop 80's tribute - rupaul lyrics