
yataniua - mbosso lyrics
ni nini hiki mbona chanizuzua
nini hiki mbona chanisumbua
nakaribia kuzalilika
nakaribia kuzalilika
aliyeumba mapenzi hakusema yanamaumivu
aliyeumba mapenzi kakusema unaua wivu
gharama mapenzi gharama
utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
gharama mapenzi gharama
na nidonda sugu halitibiki ukishazama
unamuamini nakuzani ndugu yako
k*mbe kijini ndio baby wa baby wako
mapenzi yataniua
bora nitafute pesa nianze jishaua
(niwe happy now)
mi mahaba yataniua (yatani k!ll)
bora nitafute pese nianze jishaua
nikizipata ni
mitungi mitungi mitungi
mitungi mitungi mitungi
mitungi mitu tu
mitungi mitungi mitungi
mitungi mitungi mitungi
mitungi mitungi
na watakoma aisee hili party
nyama choma ashjee ashe
miziki magoma ashjee vya arusha nivichomaje aje aje
na watakoma aisee hili party
nyama choma ashjee ashe
miziki magoma ashjee vya arusha nnita vishhh
nipite na kila mtu
hadi we, hadi we
hadi we, hadi wewe
hadi we, hadi we
hadi we, hadi wewe
eh, kaa kupenda kampende baba ako (aah baba ako)
si unapenda kampende dada ako (aah dada ako)
kaa kupenda, kampende baba ako (aah baba ako)
si unapenda kampende kaka ako (aah kaka ako)
mapenzi yataniua (yatanik!ll)
bora nitafute pesa nianze jishaua
(niwe happy now)
mi mahaba yataniua (yatani k!ll)
bora nitafute pese nianze jishaua
nikizipata ni
mitungi mitungi mitungi
mitungi mitungi mitungi
mitungi mitu tu
mitungi mitungi mitungi
mitungi mitungi mitungi
mitungi mitungi
gharama mapenzi gharama
utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama
gharama mapenzi gharama
na nidonda sugu halitibiki ukishazama
hadi we, hadi we
hadi we, hadi wewe
Random Song Lyrics :
- rx luv - shvabrik lyrics
- tiktok sound - marstein lyrics
- end of dayz - isolated beingz lyrics
- deadline - movning lyrics
- cheesy feet honk - asbo slipz lyrics
- we'll always have each other - acorn boys lyrics
- familia - curse, cora e., stieber twins & aphroe lyrics
- 찬바람이 불 때 (when the wind blows) - cloudybay (클라우디베이) lyrics
- euro libra (part. teto) - brandão85 lyrics
- better days - 林ゆうき (yuki hayashi) lyrics