
ni wewe mungu pekee - mch. abiudi misholi lyrics
[intro: abiudi misholi]
kuna mambo mengine yanayo tendeka duniani, hata kama we mwenyewe msikilizaji ungekuwa ndio mungu, usingeweza kuvumilia, lakini ashukuriwe mungu wa huruma
[pre*chorus]
ni wewe mungu pekee, (wewe baba), ni wewe mungu pekee, (wewe watosha), ni wewe mungu pekee, (pekee), wa stahili cheo hicho
(tunakuabudu we, tunakusifu we, halleluyah)
ni wewe mungu pekee, ni wewe mungu pekee, (wewe baba), ni wewe mungu pekee, (pekee), wa stahili chеo hicho
[verse 1]
athumani hakiwezi, yohana hakiwezi, ni wewе mungu pekee wa stahili cheo hicho
mke w*ngu hakiwezi, abiudi sikiwezi mimi, ni wewe mungu pekee wa stahili cheo hicho, wewe baba
[chorus]
ni wewe mungu pekee, (wewe watosha, yahweh), ni wewe mungu pekee, (tunakuabudu), ni wewe mungu pekee, (pekee), wa stahili cheo hicho
halleluyah, yeah, halleluyah, halleluyah, halleluyah, ni wewe mungu pekee wa stahili cheo hicho
[verse 2]
osama hakiwezi, george bush hakiwezi, ni wewe mungu pekee wa stahili cheo hicho
athumani hakiwezi tena, jeremia hakiwezi wewe, ni wewe mungu pekee wa stahili cheo hicho, wewe baba
[chorus]
ni wewe mungu pekee, (pekee wewe yahweh), ni wewe mungu pekee, (ni pekee wewe baba), ni wewe mungu pekee, (pekee), wa stahili cheo hicho
tunakuabudu, tunakusifu, tunakuimbia, halleluyah, ni wewe mungu pekee, (ni wewe baba), ni wewe mungu pekee, (pekee), wa stahili cheo hicho
[verse 3]
najiuliza kila siku, george bush awe mungu, adhabu ya osama sijui itakuwaje
au ulipo fikiria osama awe mungu weh, adhabu ya george bush weh sijui itakuweje, wewe baba
[post*chorus]
ni wewe mungu pekee (wewe watosha)
ni wewe mungu pekee (ni wa ajabu, ni wa ajabu tu)
ni wewe mungu pekee
(wa stahili cheo hicho)
Random Song Lyrics :
- mystery - jc wayne lyrics
- satire - adaptation lyrics
- put that on - cassie chantel lyrics
- beautiful life - jeremy passion lyrics
- making eyes - archers lyrics
- amos moses (live) - cross canadian ragweed lyrics
- mr universe - skillibeng lyrics
- get back up - reek & sage lyrics
- how that go - kankan lyrics
- 5 - do not use in empty fields lyrics