lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

pokea simu - mdoya music lyrics

Loading...

chorus

eeh baba eeeh pokea simu
eeh mungu eeeh pokea simu x2

verse 1

mungu nakuomba kwani wewe ndo unaepanga
nibariki mimi niwe na kiwanja
nimeshachoka changamoto za kupanga
nibariki baba nijenge kibanda

niwe na pesa nyingi kwa music niitwe king
walionikataa wabaki kushangaaa mdoya nina pa pa pa x2

chorus

eeh baba eeeh pokea simu
eeh mungu eeeh pokea simu x2

verse 2

eeh baba eeeh mwanao mi winga
mpiga debe ifakara kibaoni
ooh baba eeeh mwanao machinga
mtafutaji natembea mtaani
ooh bado nakuamini eeh baba eeeh mgawa riziki
ooh bado nakuthamini nipe na mimi yangu riziki baba
chorus

eeh baba eeeh pokea simu
eeh mungu eeeh pokea simu x2

ended

asa tukizipata eeeh eeeh eeeh sherehe
tukizipata eeeh eeeh eeeh sherehe x4

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...