
fungua macho - mercy masika lyrics
Loading...
wateule
tulioweka imani kwa yule
aliyetufia
wateule
tulioweka imani kwa yule
aliyetufia
sauti ya shaka, sauti yasema
hatutasimama, hatutaendelea
na sisi twasema, tutasimama
mungu yuko upande wetu
mkristo simama!
fungua macho
uone jeshi la malaika
limetuzingira
fungua macho
uone jeshi la malaika
tutashinda vita
wateule
tunaomuishia yule, anayetupenda
wateule
tunaomuishia yule, anayetupenda
mawazo ya shaka, mawazo yasema
hatutashinda, hatutaendelea
na sisi twasema, tutashinda
mungu yuko upande wetu
tutasimama!
Random Song Lyrics :
- sanduhr - kc rebell & mathea lyrics
- liturgia huarpe - alberto cortez lyrics
- i just don't know - james roan lyrics
- el rancho de la cambicha - teresa parodi lyrics
- cuban carti - c2cammy & solreid lyrics
- despair (bir) - larone lyrics
- strange relationship - howard hewett lyrics
- one of the goats - shady feeling lyrics
- vostok - manapart lyrics
- płoną rafinerie - intruz lyrics