
wastahili - mercy masika lyrics
[verse 1]
mungu wa wokovu w-ngu
wastahili kusifiwa
hakuna kama wewe, yesu
kule kuwa kama mungu
uliona si kitu
cha kushikamana nacho
ukaacha enzi ukashuka kwetu
kule kuwa kama mungu uliona si kitu
cha kushikamana nacho
ukashuka kwetu
kutukomboa
[bridge]
kaburi lilishindwa kukushika shujaa
ukatoka na nguvu na mamlaka
umeketi enzini
wafungua wafungwa
twakuabudu milele
lile kaburi
kaburi lilishindwa kukushika shujaa
ukatoka na nguvu na mamlaka
umeketi enzini
wafungua wafungwa
twakuabudu milele
[chorus 1]
wastahili (wastahili)
wastahili
utukufu na nguvu
zi’ nawe (zi’ nawe)
eeh, bwana (eeh, bwana)
hallelujah (hallelujah)
hallelujah
hallelujah yaweh (hallelujah)
hallelujah
utukufu utukufu (utukufu)
utukufu na nguvu (na nguvu)
zi’ nawe (zi’ nawe)
[chorus 2]
wastahili (wastahili)
wastahili baba
wastahili baba (wastahili)
utukufu na nguvu
zi’ nawe (zi’ nawe)
zi’ nawe
eeh, bwana (eeh bwana)
hallelujah (hallelujah)
hallelujah hallelujah
hallelujah yaweh (hallelujah)
ooh
hallelujah
utukufu (utukufu)
na nguvu (na nguvu)
zi’ nawe (zi’ nawe)
[bridge]
kaburi lilishindwa kukushika shujaa (shujaa)
ukatoka na nguvu (ukatoka na nguvu)
na mamlaka
umeketi enzini
wafungua wafungwa
twakuabudu milele (twakuabudu)
kaburi lilishindwa kukushika shujaa (lilishindwa lilishindwa)
ukatoka na nguvu (ukatoka na nguvu)
na mamlaka (na mamlaka)
umeketi enzini
wafungua wafungwa
twakuabudu milele
[outro]
wastahili (wastahili wastahili)
wastahili
utukufu (utukufu) na nguvu zi’ nawe
eeh, bwana
hallelujah (hallelujah)
hallelujah hallelujah (hallelujah)
hallelujah hallelujah
utukufu (utukufu) na nguvu zi’ nawe (zi’ nawe)
wastahili wastahili
utukufu na nguvu
zi’ nawe
eeh, bwana
Random Song Lyrics :
- secret message - kvj world lyrics
- insomnia - grieva lyrics
- all my girls are tomboys - jo hill lyrics
- grey duck - a.k grey lyrics
- département 13 - carpe diem lyrics
- el bolero (en vivo estadio de morón) - milo j & yami safdie lyrics
- make-up shadow - 井上陽水 (yosui inoue) lyrics
- pieces of you - hardex lyrics
- йоу (yo) - b33zarre lyrics
- ellenpont - tha patkányz lyrics