
ni kifaa - michael magow lyrics
ananipenda kila saa
hata nikifanya balaa
ye anapenda kuwa na mimi
ye anafanya najiamini
anafanya nakuwa makini
ye anafanya nakuwa makini
nataka twende mbali
mi na yeye twende mbali
nimpe kush apige mistari
akiwa tayari tujivinjari
ooh sioni hatari
kuwa na ye sioni hatari
sijamuona kama ye
sijamuona
mtoto ni ki faa
mtoto ni ki faa
mtoto ni ki
mtoto ni ki faa
yeah
mtoto ni ki faa
mi ndio ana ni faa
mi ndio ana ni faa
mtoto nini
mi ndio ana ni faa
mi ndio ananifaa
nilisema si imbi mapenzi
natunga hizi tenzi
nataka nikuimbie we mpenzi
nikuimbie we mpenzi
na we ufurahi, ufurahi
na we ujidai, ooh
nataka we ufurahi
nataka we ujidai
nataka we ufu
nataka we ufurahi
nataka we ujidai
nataka we
nataka we ufurahi
mimi mimi mi nataka we ujidai
anasema kuniacha hawezi
she’s so deep kwenye mapenzi
kitandani anakata kishenzi
ananimaliza kichizi
akiwa mbali na zoom kwa lens
nikiwa nae nakua crazy
nahisi k-muacha siwezi
nahisi k-muacha siwezi
mtoto ni ki faa
mtoto ni ki faa
oh, yeah
mtoto ni ki faa
mtoto ni ki faa
oh, yeah
mtoto ni ki faa
mtoto ni ki faa
oh, yeah
mtoto ni ki faa
mtoto ni ki faa
oh, yeah
love u till i die
lemme love u till i die
lemme love u till u tell me
lemme love u till i die
lemme love u till i die
lemme love u till i die
ooh uuh ooh ooh
luv u till i die
Random Song Lyrics :
- sometimes i'm happy - lee wiley lyrics
- vakit geçer - netameli x mvto lyrics
- mallwalker - saintseneca lyrics
- putita - vale acevedo lyrics
- hold on - cast lyrics
- de igual pra igual - guilherme arantes lyrics
- dream baby (how long must i dream) - the marvelettes lyrics
- the chosen one - the amazing brando lyrics
- bastard - front porch step lyrics
- spiriti & show - clementino lyrics